Logo
andrewrwela

Mafunzo/Program Zangu Zimekusaidia?

Tafadhali NIANDIKIE au RECORD VIDEO yako kuhusu namna ambavyo mafunzo yangu yamekusaidia.

Maswali

  • Unaitwa nani?
  • Kabla ya kupata mafunzo yangu HALI yako ilikuaje?
  • Baada ya kupata mafunzo yangu UMEJIFUNZA Nini au Umepata MATOKEO gani?
  • Tafadhali naomba nipe mrejesho wako bila kujali udogo wa matokeo uliyoyapata.