Shuhuda Za Mafunzo/Program Za Coach Khalifa
Amina Hassan Ramadhani
Naitwa AMINA H RAMADHANI Kutoka Singida.
Nilikuwa sijui chochote Kuhusu Biashara ya mtandao na fursa zilizopo mitandaoni lakini...
Nilipojiunga na mafunzo ya Coach Khalifa yanahusu BIASHARA YA MTANDAO hapo nilipata wasaa wa kujua Kuhusu Biashara ya mtandao na fursa zilizopo mitandaoni kwa vijana.
Hapo nilijifunza zaidi Kuhusu Biashara ya mtandao na fursa zilizopo mitandaoni kwa vijana.
Tangu hapo nimeweza kutengeneza akaunti nzuri na pia nimepata fursa ya kukutana na watu mbalimbali wenye changamoto zinazowakabili.
Coach Khalifa amejitoa kutusaidia vijana kutumia fursa zilizopo mitandaoni...MUNGU AKUBATIKI COACH.

Mariam sadiki
Naitwa Mariam sadiki natokea dar-es-salaam.
Nilikua sifahamu chochote kuhusu biashara au fursa zinazipatikana mtandaoni...
...baada ya kupata mafunzo kupitia kwa kiongozi coach khalifa nimeweza kuandaa matangazo mbalimbali ya biashara.
Pia nimepata fursa ya kujuana na watu tofautitofauti na changamoto zinazowakabili.
Natoa shukrani zangu za dhati kwa kiongozi khalifa kwa kutusaidia sisi vijana pia MUNGU akubariki kwa kazi kubwa unayoifanya.

Abdul
Mimi naitwa abdul kiukweli nilikua sielewi kabisa maana ya biashara ya mtandao lakini mpaka sasa namshukuru mungu kupitia mafunzo nilio yapata nimejua mambo mengi kama kutengeneza captain na mambo mengine nikukaribishe wewe ambae bado hujajua nini maana ya biashara ya mtandao na inafaida gani KARIBU KATIKA GROUP LETU ujifunze zaidi.

MM
Mohamed/moud
NINAFURAHIA