BIASHARA ILIYONILIPA ZAIDI
Binafsi mi naitwa Avitus Mwijage ni Mtaalamu wa Afya na biashara.
Kwenye upande wa Afya,huduma zitolewazo ni pamoja na: 1️⃣ Afya ya uzazi kwa wote. 2️⃣ Afya ya kinywa na meno 3️⃣ Afya ya katika mfumo mmeng'enyo wa chakula,Mifupa na maungio,Macho n.k
4️⃣ Pia nawasaidia watu wote wenye uhitaji wa fursa ya biashara ili waweze kukuza kipato chao na kuweza kupunguza ugumu wa maisha kwenye makundi yafuatayo:
1️⃣Wale waliojiliwa lakini mishahara yao haiwatoshi kutokana mazingira ya kazi.
2️⃣Wale wanaosoma lakini hawana pesa ya kujikimu yaani boom
3️⃣Wale wanaosoma vyuo wana pesa ya kujikimu (boom) lakini haiwatoshi.
4️⃣ Wale waliohitimu masomo (4,6,chuo) lakini hawana kazi zaidi ya kutegemea wazazi/walezi.
5️⃣ Wazee na wasitaafu wanaopenda kuimarisha afya zao kwa kutumia bidhaa zetu badala ya kutumia gharama kubwa kujitibia bila mafanikio.
Lengo la Biashara hii kumfanya kila mtu kujitegemea kiuchumi, kujisimamia na kujiingizia kipato hata kama akiajiriwa au asipoajiriwa.
Wengi wamebadilisha maisha yao kupitia biashara hii kwa kuwa tuna ofisi kila mkoa,nje ya nchi na nje ya bara la Africa,pia tuna vibali vya kazi pamoja na Medical certificate kwa dawa zote zaidi ya 71.
Hapo ndipo unapoanza kutengeneza pesa isiyokuwa na mwisho na kuwafanya wengine wajiajiri kupitia wewe.
Binafsi nilikuwa siamini kama ningeweza kufikia hatua hii kwani kati ya kampuni zoote nilizowahi kujaribu kufanya sikuwahi kupata kipato kama ninachokipata huku, kwani nyingi zilikuwa hazina msingi mpaka nikajuta kupoteza mda wangu.
Baada ya kuanza biashara hii mwaka 2021 mwezi November, nilijawa imani kubwa mpaka nikadriki kuanza kuwashirikisha na wengine ili wapate kama mimi.
Hivyo, nitakuwa nanyi kuwafundisha na kuwasimamia mpaka mfikie malengo yenu,mpaka pale utakapofikia hatua ya kutengeneza pesa zaidi ya Elfu 50 kwa siku.
Tuzidi kuombeana,mambo mazuri yanafata,naomba kama una rafiki yako ambaye pia angetamani hii fursa mjulishe na tuwasiliane niweze kumadd ndani ya group hili ili tukianza mafunzo,asiwepo wa kubaki nyuma.
ONYO : Group hili halihusiani na maslahi Binafsi na taarifa zote zitatoka kwangu,usipokee taarifa yeyote kwani wote ninaofanya nao kazi nitawatambulisha mwenyewe.
Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp: +255695115776
Au Piga: +255753334176
#dr_mwijage (Avitus Mwijage) Mtaalam wa Afya na biashara
Ahsanteni na karibu sana.
questions
- Wengi wamebadili maisha yao kupitia hii biashara
- Na baadhi ya shuhuda ninazo