Wall of love for Dr. Peter Mkufya, PhD.
Alpha Deniss Kihega
Mkurugenzi shikamoo. Kwa majina naitwa Alpha Deniss Kihega mwanafunzi wa chuo kikuu cha ardhi mwaka wa kwanza.Nimekutana na wewe kupitia kitabu chako cha KWELI ZAWADI KWA WATANZANI, nshukuru kwa sababu kimenifumbua akili yangu katika mambo ambayo sikuyafikiria kablaa asante kwa zawadi hiyoo.
Ardhi University - DSM