SOCIAL MEDIA SALES STRATEGY COURSE
C
Coco
Go_Collectioni
Mimi ni Go_Collectioni
Changamoto yangu ilikuwa nikufanyia Page yangu Audit
Imenisaidia kwa sasa mtu akisearch page yangu inakuwa ya kwanza kuonekana
Maendeleo yangu ni mazuri sana na shukuru sana

AS
Alim Suleiman
Himax Afrika
Mimi ni Alim Suleiman.
Changamoto yangu ilikuwa katika kupangilia ukurasa wangu wa Instagram.
Baada ya kuelekezwa na Onlinefad kwa sasa ukurasa wangu umekaa sawa.

Elsiestore
Elsiestore
1.Elsie store
2.Nilikuwa navurugwa na nini nipost, bidhaa tu au na vitu vingine?
3. Imenifanya nikapata confidence hata ya kujipost na kuelezea namna bidhaa yangu inaweza msaidia mtu, nimeacha kutumia picha za kudownload, natengeneza content zangu mwenyewe, nimeifanya page yangu iwe na ile human interaction, testimonial post na hata namna ya kuandika caption, siandiki bila kuweka CTA
4. Naendelea vizuri mwalimu, siko sana active instagram ila naendelea vizuri na hata page yangu haiboi kuiangalia, nina confidence ya kupost chochote na hata ule uoga wa kuongea mbela ya camera umepungua sanaaaaaaa

Ahsante sana mtaalam, Mimi nimejifunza Vitu vingi kutoka kwako na vinanipa matokeo, nimejifunza jinsi ya kuandaa content, nini cha kupost na kwa wakati gani, nashukuru sana sana kwa Elimu uliyonipa

My brother @onlinefad it was great to meet you and have a great discussion with you about business for sure I learned alot my brother See you to the top 🙌 🔝

Kwa dhati nashukuru sana kwa huduma ya kupata elimu ya Page Audit and optimization (as an expert) imekuwa sio tu page audit na optimization bali na mambo mengi kuhusu swala zima la digital marketing kwa sasa hasa Tanzania , fursa zilizopo kwa sisi vijana kupitia mitandao ya kijamii. Inahitaji kutafuta maarifa ya vitu vyenye manufaa ya baadae kuwekeza kwenye mambo yatakayo tusaidia baadae huko miyandaoni ili kujikwamua kiuchumi katika hili janga la ajira kwetu sisi vijana

Nimeifurahia huduma yako Kaka
mAana ulichokifanya wewe NI tofauti MNO ,page yangu sasa umekaa kitaalamu mno ...guess what KUNA MTU nae NI mtaalamu alinisetia akaunt vile ulivyokuta alisema ndio kaiweka kitaalam ...aiseee MUNGU AKUBARIKI MNO ,,Namshukuru Mungu kwa ajili ya Fanikiwadigital kukurecommend wewe KATIKA eneo Hilo baada ya kuiona akaunti yangu ....NIMEKUFURAHI MNO ...TUTAENDELEA KUFANYA KAZI
KINGINE WEWE NI MKWELI HUNA TAMAA YA PESA ....KITU UNAKIJUA LAKINI SIO DEEP UNASEMA KABISA KUWA HIKI NAKIJUA ILA SIO MTAALAM MIMI NIMEBASE HUKU ..KWA UKWELI WAKO HUO ,MUNGU AZIDI KUKUTAMBULISHA