Joel Nanauka

Shuhuda Za Vitabu / eBooks / Program Na Semina Zake Joel Nanauka

sylvester sanawa
Nimesoma kitabu cha Nidhamu ya fedha, kimenibadilisha sana tabia ya kutembea na pesa bila bajeti, pia kufuatilia matatizo ya watu, kwenye hayo maeneo nilikuwa napoteza pesa sana, kwasasa kipato kimeimarika sana, pia nmejifunza namna ya kupunguza kuwa na pesa ambazo zipo iddle kwa kulipia huduma mbalimbali in advance kama vile kodi ya pango, ada, umeme, majibu nk

Tedrisa
Asset muhimu kama kijna ,usiendelee kungangania watu, na nyingine nyingi bado nazifuatilia na nitaendelee kuzifuatili ingawa bdo napamba ili nifike mahali fulani, ubarikiwe san kaka una mafundisho mazuri san.🙏

Laurent
Kitabu chako cha nidhamu ya pesa ulitulia kukiandaa aisee kimenivusha sehemu kubwa sana, Sijui kwanini sikukipata mapema

Joseph Shuaka Mollel
Naitwa Joseph Shuaka Mollel. Nimejifunza namna ya kufikiri tofauti kupitia semina ya Mhe JNanauka, namna ya kudhubutu. Kuacha uoga wa kijinga, kukabili tabia nisizozitaka, nimejifunza kuwa mtu sahihi kabla ya kutafuta watu sahihi.. Ahsante sana. Nimejifunza nguvu ya persistence (Muendelezo).

DD
Dorcas Daud
Naitwa Dorcas from Morogoro. Hii wiki nimeanza kusoma vitabu chako kuanzia timiza malengo, money formular na Sasa nipo nidhamu ya pesa. Nimefungua kua sikua na elimu ya fedha kabisaa na hata ma chache niliyoyajua nilikua sifanyi. I believe this awareness and conviction is going to change my mindset and I pray and I am doing my due diligence to make sure it becomes my identity

Naitwa shamsi Nidhamu ya fedha imenisaidia sana

JS
Joel stiven
➡️Naitwa joel stiven ➡️Nimefanikiwa kusoma kitabu cha NIDHAMU YA PESA ., nimekutana na tabia ambazo mwandishi umeziandika ni kama ulikuaa unanifuatiliaa maisha yangu maana ni zinaendana na mimi kabisa nimejifunza tabiaa gani zinasababisha pesa kupotea ,lakini pia mbinu za kutumia ili pesa zisipotee ➡️Kabla ya kusoma kitabu hiki nilikuaa nasaidia sana watu ikafika kipindi kila sku kuna mtu ananiletea tatizo , naahid watu kuwasaidia ingali sina pesa hio ➡️nimepata mbinu za jinsi ya kuepukana na tabia hizi nilizokua nazo

Peter kitula
Nashukuru sana kwa kutusaidi kwa maarifa ya nidhamu ya pesa sasa naona mambo yaenda vizuri.

FF
FLORENCE FREDERICK
Natakamani kupata msaada wako. Mimi nikiongozi wa taasisi ya WANAWAKE na vijana Tanzania.

HASHIMU IDDI
Naitwa HASHIMU IDDI KALEMA nipo darces salama kinondoni, Nimesoma vitabu zaidi ya vitabu 7 na baadhi ya vipande ninavyokutana navyo Facebook vya Joel Nanauka Hayo masomo yamenibadilisha sana, kiuchumi, kitabia, kimaisha na hata mwonekano wangu umekuwa wakitofauti sana, Zamani nilikuwa mtu mwingine tu napata hera sijui zinakokwenda, matimizi yaovyo tu, Mungu akusaidie sana ndg yangu

simba chacha
ebwana sasa na mimi naanza kukuelewa kaka

Rahim Tengewa
Naitwa Rahim Tengewa, ni mwanafunzi na kiongozi wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam nayesomea shahada ya Uhandisi wa Mawasiliano. Mimi sikuwa na mazoea ya kusoma vitabu hadi pale nilipopata bahati ya kukutana na wewe tarehe 31 August 2024 katika tukio la DARUSO LEGENDS RETREAT ndani ya ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Kibaha. Hakika umeniinspire sana na nikaanza kukufuatilia kwenye mitandao ya kijamii na kuwa "my role model". Hadi sasa nmeanza utaratibu wa kusoma vitabu mdogo mdogo na nmefanikiwa kusoma vitabu vyako viwili vya eBook; "Nidhamu ya Fedha" na "Kiongozi wa tofauti". Hakika baada ya kusoma kitabu cha kwanza nikapata hamu ya kusoma vitabu vingine, nikiri kuwa wewe ni mwandishi bora sana na kuna mengi sana nimejifunza na najitahidi kuyaishi ili niendelee kupata matokeo bora. Kitu kingine, ambacho natamani ni kupata nakala ngumu "hard copy" ya vitabu vyako kuliko kutegemea "soft copy" pekee. Ningependa kufahamu nawezaje kupata na gharama zake zikoje? Na mwisho kabisa kuweza kupata mawasiliano ili iwe rahisi kukupa feedback na kuona mabadiliko katika maisha yangu.

KM
KIJA SARAH MABULA
Mungu azidi kukuinua na kukutumia ,

KM
KIJA SARAH MABULA
Naitwa KIJA SARAH MABULA eBook Nidhamu ya fedha, tabia 12 za watu waliofanikiwa,maono,(kiufupi ninaaoma vitàbu vyako na ninakufuatilia you tube"sio kwamba unanibariki lakini nahisi UMEINULIWA KWA WAKATI SAHIHI KWANGU"ninamtukuza MUNGU kwaajili yako,nilikuwa mtu mwenye madeni,msongo wa mawazo na nilikuwa nakata tamaa ya maisha ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza, miaka 22 ,nilikuwa napenda kuomba msaada,nahii ilisababisha nipoteze watu wengi mhimu kwangu, baada ya kusoma vitabu vyako ikainuka hasira ndani yangu,nikakataa kuhurumiwa wala kusaidiwa ovyo,ni binti ambaye nina maono makubwa lakini nikajikuta yanapotea.lakini now I can stand and I believe in God and myself that I can archive my goals" Finally mtu akiniuliza who is my role model"JOEL NANAUKA" even if am stressed nikiona kitabu chako nacheka kwa sauti na furaha yangu inakuwa mara dufu Kati ya watu ambao nchi inatakiwa kuwatunza kwa gharama yoyote ikiwa ni pamoja na maombi ya kufunga ni watu kama nyie life coachers.amina ubarikiwe Sana "itumike but confidentiality of names"

K
KK
Thank you so much, Kitabu cha nidhamu ya pesa, eBook,,,,,,kimeniongezea maarifa hasa sehemu ya mwanzo inayohusu Kutokupenda kutoa taarifa zangu za pesa kwa watu wasio na ulazima wa kujua,,,,doh kamdomo,,,niliathirika mara ya mwisho nilipopata kazi na kushuhudia kwa ndugu na jamaa zangu, alooh,,,,,nilijitengenezea shida bila ya mimi kujua,,,,so now nimepata kazi sehemu nyingine na anayefahamu ni mtu mmoja tu hata wazazi wangu hawajui coz pressure niliyoipata mwanzoni si tamani niipate na sasa.

Baraka Yesmoth Chomba
-Kitabu Nidhamu ya fedha -Kabla ya kusoma Nilikua napoteza fedha kwa mambo yafuatayo; 1. Kusaidia watu bila kujali kipato changu. 2. Kutembea na fedha (cash) 3. Kushindwa kuweza kutokana na kuishiwa fedha Baada ya kusoma 1. Nimejiwekea mikakati ya kutunza fedha kwa njia mbalimbali 2. Nimejiwekea mipaka ya kusaidia watu 3. Kutumia fedha kwenye vitu vilivyo ndani ya uwezo na bajegi yangu. Matokeo Naweza kufanya vitu kupitia kipato changu tofauti na mwanzo kabla sija soma hiki kitabu.

Edward Peter
Edward Peter wa Geita Runzewe, kwakweli nilikuwa sijui hela yangu inaenda wapi/imefanya nini? Hela ninapata kabisa nikipiga hesabu ya wiki nzima, najikuta nimepata hera nyingi nikiizisha kwa mwezi nihela nyingi mno, lakini sasa sioni hela inakoenda na inachofanya, Kwakufuata yale niliyosoma/kujifunza kwenye kitabu hiki cha nidhamu ya pesa naomba MUNGU anisaidie niyazingatie nakuyafanyia kazi kuanzia leo trh. 01/05/2025 hadi trh. 30/05/2025 nione ninini nitakuwa nimekifanya, MUNGU nisaidie katika hili nisijisahau hata kidogo,

Nimesoma vitabu zaidi ya vitabu 7 na baazi ya vipande ninavyokutana navyo Facebook vya Joel Nanauka Hayo masomo yamenibadilisha sana, kiuchumi, kitabia, kimaisha na hata mwonekano wangu umekuwa wakitofauti sana, Zamani nilikuwa mtu mwingine tu napata hera sijui zinakokwenda, nalewa kupitiliza, matimizi yaovyo tu, Mungu akusaidie sana ndg yangu

JL
Julius Lenatus
Ninaitwa Julius LENATUS GREGORI KUTOKA KAHAMA NIMESOMA KITABU CHA NIDHAMU YA PESA KIUKWELI MUNGU AKUBARIKI SANA KIMENIFUNDISHA MENGI NA KUBADILI MAISHA YANGU UBARIKIWE SANA

EWARD JACOBO
Kupitia kitabu hiki kwanza nimegundua ili ufanikiwe ni lazima ukubali kujifunza eidha kwa kusoma vitabu vya joel, semina au video na sauti mbalimbali YouTube. Pia binafsi nimegundua kama ningepata kusoma kitabu hiki miaka 5 iliyopita na pesa iliyopita mikononi mwangu hakika ningekua na mafanikio makubwa sana. Hata hivyo naimani pia bado sijachelewa.Hivyo napenda kukushukuru sana Mr. Joel umeyagusa maisha yangu kwa kunifungua akili na kunipa mwanga na maono makubwa naimani baada ya miaka 5 nitakua hakika nimeyafikia malengo yangu yote. Kwa wengine nashauli kua njia sahihi ya kukusaidia kuyafikia malengo yako, kupata maarifa ya maisha ,busara ya kiutu uzima , nidhamu ya kila pesa inayopita mikononi mwako, jinsi gani upange bajeti ya pesa zako ni kusoma vitabu kwa wingi na kuhudhuria semina zinazohusiana na mambo hayo. Ukiona hujafanya haya nakuhakikishia utaishia kusema wenzetu wamebarikiwa baada ya kuona magari na majumba ya kifahari mbele ya macho ako. Asante Sana.

AM
Aron Mlaki
Kitabu ni kizuri sana, kimejaa mbinu halisi kabisa ambazo kama ni mfuatiliaji na uko tayari kwa mabadiliko huna haja ya kitabu kingine katika eneo hili, just buy and read and then practise. Hongera sana kwa kuandika kitabu cha mbinu halisi

Cosmas Panja
Cosmas Panja. Kitabu Cha Nidhamu ya Pesa Kabla ya kusoma kitabu hiki nilikuwa natumia fedha bila kujali kiasi nilicho nacho au ninachopata, lakini baada ya kusoma kitabu hiki hakika nimeanza kufanya maendeleo makubwa na bajeti inatengenezwa kulingana na kipato changu. Naamini hakika nitasogea sana.

SM
Sheghere Mgonja
Sheghere Mgonja Upande wa kumuahidi mtu utamkopesha wakti sina hicho kiwango cha fedha imenitesa saaana kabla ya kupata maarifa haya

Emmanuel Lucas
Mafundisho ni mazuri, nimejifunza kuwa nilikuwa nikitumia pesa bila kujiuliza haya maswali 3, je nanunua kitu kuwekeza, ni lazima au siyo lazima.

Lameck manyama
Naitwa lameck manyama vitabu ambavyo nimesoma na vimekuwa na mchango mkubwa katika maisha yangu ni nidhamu ya fedha ambacho kimeniongezea maarifa ya kifedha zaidi ya hapo mwanzoni ambapo nilikuwa natumia pesa na sijui zinakoishia ila kwa sasa nimeweza kujenga nidhamu kupitia mbinu mbalimbali ambazo nimejifunza kwenye kitabu hiki Kitabu kingine ni sayansi ya tabia na strategy vimenisaidia kuweza kubadili tabia zilizokuwa zinafanya nishindwe kupata matokeo niliyokuwa nayataka kwa mda mrefu.

Jules Alois Ebuela
Naitwa Jules Alois Ebuela kutoka Marekani nakujakutoa asante zangu za dhati kwako mwandishi Joel Nanauka kwa kitabu hichi kimenipa kujuwa mambo mengi na kuhanza kuishi maisha ya mafanikio makubwa Mungu wa mbinguni akubariki sana akupe hekima na maarifa mengi kila leo ili Dunia ijuwe mchango wako. Amen Asante sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻

Levina Kundi
Such a nice and wonderful book. (Nidhamu ya Pesa) Reading this on January this new year 2025. This is definitely going to be a Great Year 🙏🏾. Keep Doing a Great Work

PETER ALLY BONIFACE
KWANZA KABISA NIPENDE KUMSHUKULU MUNGU KWA KUWEZA KUNIFAHAMISHA MIMI KUKUFAHAMU DR JOEL NANAUKA KABLA YA KUKUFAHAMU WEWE ILIKUWA NGUMU SANA KWANGU KUWEZA KUAMINI KWAMBA KWENYE KILA MALENGO YANGU KWAMBA NINGEWEZA KUYATIMIZA NAKUSHUKULU SANA NA SASA NIMEAMINI KUWA NINAWEZA .KITABU HIKI CHA NIDHAMU YA PESA KIMEKUWA KAMA SILAHA KWANGU NA FUNGUO AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIAHAKISHA KASI YA MALENGO YANGU KIFEDHA HASA KWENYE KUWEKA AKIBA NA UWEKEZAJI ASANTE SANA MUNGU WA MBINGUNI AKUBAIKI

Hassan Issa Panduka
Naitwa Hassan Issa Panduka Vitabu pamoja na video za YouTube zenye mafunzo mbalimbali katika maeneo tofauti tofauti zimekua na mchango mkubwa sana katika kuniongezea uwezo wa kufikiri na kuyatazama mambo, kitabu kama MONEY FORMULA na NIDHAMU YA PESA vimekua na mchango mkubwa katika Elimu ya Fedha hadi kunifanya nikaweza kufungua account katika moja ya Benk Tanzania na kuweza kusave kiasi cha pesa kitu ambacho kwa mwanzo nilikua sina hiyo nidhamu kabisa na nilikua siwezi hata kidogo kwa kuona kipato changu ni kidogo na siwezi kukigawa na kupata pesa ya kuweka Akiba Pia mitazamo na Fikra zangu zimebadirika kwa kiwango cha juu sana kwani nishaanza kuyatazama mambo kwa utofauti na nilivyokua hapo mwanzo kabla ya kuanza kufwatilia video zako za YouTube pamoja na vitabu 🙏 Mwakani Inshaallah kiasi cha Akiba ambacho natunza kwa sasa nitaanza nacho kujiajiri katika eneo ambalo nimelichangua na ni Passion yangu kwa kufwata maarifa ambayo nimeyatapata katika kitabu cha HATUA 6 za kujiajiri Toka nianze kukufwatilia na kukujua Sir Joel Nanauka ni miezi 5 sasa na nimefanikiwa kusoma vitabu 3 na kutazama video 197 za YouTube ambazo zimepanda kitu kikubwa na kimeshaanza kuota ndani yangu, Asante sana My Life Coacher 🙏 #See You At The Top

Hassan Issa
Naitwa Hassan Issa Vitabu na video za YouTube zenye mafunzo zimenisaidia sana kuniamsha kimawazo na kihisia kwa kiwango cha hali ya juu sana Kabla ya hapo nilikua mtu ambaye najiona ni wa kufeli na kushindwa nlikua nimeshanza kukata tamaa lakini leo najiona tofauti sana kimawazo na jinsi ninavyoyatazama mambo kesho yangu naiona ikiwa kubwa sana 🙏 # See You At The Top

Darius frugence
Naitwa Darius frugence Nimesoma EBook inaitwa Nidhamu ya pesa kiukweli ni Hali ambayo nimegundua hua natengeneza Hela nyingi sana lakini najikuta nazitumia kwenye Matumizi ambayo sio sahihi kwa mfano kuna sehemu umegusia ya kutembea na Hela nyingi mfukoni yaaani umenigusa Mimi kabisa, sehemu ya pili ni kutoa misaada kwa wingi sana pia Mimi Niko hivi na sehemu ya tatu ni katika kununua vitu kwa uchache Na niliyoyaamua hapa ni kufatisha mwongozo wako wa 50/30/20 hakika unanisaidia sana Shukran sana Kaka Joel Nanauka Ubarikiwe sana kwa msaada huu kwetu sisi.

P
Patrick
Nidhamu ya Pesa.. Kimenipa ufahamu mzuri wa kunipanga kwa utunzaji wa pesa

SM
Salutare Ephrem Minja
Nimefurahi kupata elimu hii naamini itaenda kubadilisha matumizi yangu ya fedha yangu

VT
Victor Tullo
Kitabu ni kizuri, kimenisaidia. Asante.

GG
GILBERT GRATIAN
Gilbert M. Gratian Kitabu ni kizuri mno. Hongera muandishi. Mungu akubariki.

J
Judith
Kitabu cha "nidhamu ya pesa " kimenifungua Sana akili yangu maana nlikua najiuliza nitajifunza wapi matumizi sahihi ya pesa?, lakini hiki kitabu nimekipata wakati sahihi maana nlikua na shida kwenye eneon la hili na nlijiona nipo sahihi kwasababu nliona hela inatumika panapohitajika Ila kumbe sio muhimu Kwa wakati huo, best book ever

Alphonce Kibabi
"Nidhamu ya pesa" Namshukuru Mungu kwa sababu Yako kwani kitabu cha nidhamu ya pesa kimeniiongezea vitu vingi ikiwemo vikubwa vitatu 1.financial intelligence 2.financial plan 3.financial displine Vitu hivi kabla sikuweza kutambua vinarndaje lkn baada ya kusoma kitabu hakika nimejua kuzitafuta pesa na kuzilinda zisiondoka. ubarikiwe sana kijana wetu wa kitanzania NANAUKA kwa mafundisho safiii

Nsajigwa Mbukwa
Naitwa Nsajigwa Mbukwa kitabu Cha "Nidhamu ya kifedha" baada ya kusoma ukweli nimepata mtazamo mpya kabisa juu ya fedha inayopita mkononi mwangu... Naingia kuyafanyia kazi nitarudi baada kutoa matokeo ya kile nilichokupata kwenye ebook hii... MUNGU akutunze @joelnanauka

Emily Mwalongo
Emily Mwalongo Vitabu vyako Joel nanauka vimenisaibia sana kwenye maeneo mengi hususani mfumo mzima wa life style yangu na maeneo ya kifedha pamoja na kuishi kimkakati na maeneo ya HEKIMA za MAISHA na ufahamu chanya (Hakika maarifa haya yanapaswa kuwafikia waafrika wote Ili tujeje bala lenye nguvu na uwezo kifikra 👏🙏)

NT
nestory simery tweve
Binafsi kava la ebook ya NIDHAMU YA PESA lipo SAHIHI KABISA kwani ujumbe wa kava lake na kilichomo ndani yake.. kinaenda ujumbe wa kitabu kizima ni kuitunza fedha kwa namna ambayo wewe binafsi itakuwa sahihi ...kwa sababu badala ya kufanyia mambo yasiyo sahihi kama starehe,manunuzi ya vitu visivyo muhimu sana.. kutembe na cash. bila malengo... na pia kuna PICHA YA PESA imehifadhiwa .. hilo kopo limetumika kama mfano tuu.. huenda ukatunza fedha zako ..benk,saccos,utt, vikundi ,hisa, mali .. hata kibubu pia..maana suala la kuhifadhi hela ndiyo la muhimu kuliko kuzipoteza kizembe ..

JK
Janeth Kimario
Hello naitwa Janeth nipo nasoma kitabu chako cha Nidhamu ya Pesa nmefika sura ya 4 naona kabisa ambavyo nitaanza kupangilia fedha zangu kulingana na yale uliyoyashauri. Ni vitu vdogo kweli ambavyo siviwekei umakini vinavyonimalizia hela🙏🏿 Ubarikiwe sana kwa elimu hii usichoke kutupa madini tujengeke pamoja.

Dastan h mapunda
Naitwa dastan h mapunda

GK
Glory Kinyunyu
Kaka, nimesoma kitabu kwa njia ya eBook cha nidhamu ya pesa, nimetambua makosa niliyokuanafanya kwanzia sasa nimeweka mikakati ya kua na nidhamu katika kipato changu. Be blessed

AK
Answar kipande
Kitabu n kizuri kimefanya nijue njia za kutunza zangu

AA
Anderson Anthony
eBook yako ya Money formula imenisaidia sana hasa kwa upande wa kujiwekea akiba na ndani ya miezi 2 nimeweza kusave Kiasi cha Zaid ya Tsh 200,000/= kitu ambacho nilikuwa siwezi na nilijiona nimechelewa kuanza kufanya hivyo lakin Kauli yako ya “Bado hujachelewa kuanza” ilinitia Nguvu sana. Be blessed and I hope we will meet at Top

NESTORY NYAGENDA
Kipekee Nashukuru Sana kwa Mafundisho mazuri ambayo nimekuwa nikiyapata kwa kupitia Vitabu vyako.. Nikiwa katika mwendelezo wa kusoma vitabu na hiki kikiwa kitabu cha nne mbaka sasa nikianza na mbinu ya kujenga ujasiri, Timiza malengo yako, Saikolojia ya wateja na hii ebook ya Nidhamu ya Fedha., Hakika kuna mabadiliko makubwa sana na siwezi kuelezea kwa upana zaidi ila najiona hata mimi kwamba nimeanza kujengeka sana kiakili na bado Naendelea kujifunza Zaidi kwa kupitia wewe.. Ahsante kushukuru...

Mipawa Baya
Naitwa MIPAWA BAYA sehemu iliyonigusa zaidi ni kutunza hela kwa kuwekeza na kuepuka kutembea na hela bila matumizi maalum pia kuwa na social fund n.k

DS
Daniel cleophace Samson
Hakika mungu akubariki sana, Binafsi umenigusa Kila sehemu ndg yangu naamini Kwa mafunzo yanaenda kubadirika Na naamini mungu ana makusudi yake kwangu, Nikutakie Kila Lilo jema.

Sabri ibrahim
Naitwa Sabri Ibrahim. Nimesoma eBook NIDHAMU YA PESA Nimekuwa nikipitia changamoto nyingi za kifedha mbali na kuwa na kipato kizuri mwanzo nilijitadhimini na kujua shida iko wapi lakini nilikuwa sijui ni njia zipi nitumie ili niwe na nidhamu ya pesa ila baada ya kusoma kusoma eBook nimegundua kuwa asilimia kubwa vitu ulivyoviongelea ni tabia ambazo nilikuwa nazifanya kwenye matumizi yangu ya kila siku bila kujua vinaniathiri kiuchumi,so kimenisaidia kwanza kukubali makosa yangu na kuamini kuwa ni kweli hivi vitu vipo na vinaweza kurekebishika kama nitakuwa commited mimi binafsi kwa kujiwekea mipango na budget na kuacha yale yote ambayo yanafanya nidhamu ya pesa kuwa mbaya nakiri kuwa kitabu chako kimenibadilisha mtazamo na fikra zangu kwa ujumla hasa katika matumizi ya pesa. Ahsante na ubarikiwe.

Yohana ngoliga
Money fomla

Omar

M
MARY
Ebook ya jinsi ya kukabiliana na stress,mbinu ya kuongeza ujasiri na kujiamini vimenifanya kuwa mtu mpya nayejiamini bila kujal Hali yangu nlyo nayo nlpatwa shda ya kuskia vzr skua na furaha mwenye mawazo kila sku lkn baada ya kuvsoma vtabu hivi nmekuwa tofauti Sana najiamini najipenda kila siku najiumba upya ufahamu wangu kwA kujitamkia maneno mazuri na mazuri mengi yananifuata.

MF
Mjuni Festo
Nilisoma kitabu cha MONEY FORMULA baada ya siku3 nimeweza kuweka akiba ya elf80,000 elf 70,000 nikalipa mkopo 10,000 nikaweka akiba ya malengo Mungu alibariki sana JOEL NANAUKA

Emmanuel clemence
Ahsante sana brother Joel nimesoma vitabu vyako vingi lakini Timiza Malengo yako ndicho kilibadili maisha yangu na sasa mimi ni mwandishi wa vitabu. Kimenisaidia kuzipambania ndoto zangu za kuwa mwandishi na sasa nimepiga hatua kubwa. May God bless you

Deus Mpili
Deus Mpili nipo karagwe Kagera...kitabu cha money fomula na video zako zimenisaidia sana.... Kabla ya kusoma kitabu nilikuwa na woga wa kuanza.... Ila kwa sasa nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kumjengea mzazi wangu nyumba pia kuwekeza mashamba ya mitu.

Gabriel simbeye
Naitwa Gabriel simbeye kitabu Cha money formula kimenisaidia sana kusave Hela mwanzo nilikuwa na matumizi mabaya sana ilikuwa Kila mwishoni mwa mwezi nakuwa nimeishiwa Hela tayari,ila saidi ziada inakuwepo.Ubarikiwe sana joel

Musa
Kiufupi nimebahatila kusoma kitabu chako kimoja ambacho ni Mbinu za kujenga Ujasiri hakika hichi kitabu kimenisaidia sanaa mm nilikua mtu wa hofu Sana hasa katika maisha yangu kupitia kitabu chako nimejifunza mengi sana saivi Nina fully Confidences Ubarikiwe sana

Alphaxard
Nimefanikiwa kupata maelezo mafupi ya kitabu cha CORE GENIUS ambacho kimenipa mwanga wa kubadilisha mtazamo wangu katika jamii kwa kutumia CORE GENIUS yangu Mungu akubariki na akupe afya yenye sia jema Mr Joel Nanauka

Joshua Panther
Kitabu cha Core genius kimenisaidia sana kua wengi wetu tuna u genius katika mambo fulani lakini atujijui kutokana na elimu tunazorithiswa kwa wazazi wetu

Andrew Mgimba
BigUp Kwako Nmekuwa Nkifatilia Vitabu vyako vyote Hakika Nmejifunza Sana Kutoka Kwako Mungu Akubariki Hakika nmepata Elimu Kubwa ya Fedha kutoka Kwako Acha Nifanye yaliyoyamuhimu You are The Greatest Mr.Joel Nanauka.

MM
Masudi Ibrahimu Muhammed
Kaka Joel nanauka kiukweli mm ni boda boda nipo maeneo ya mjini dar lkn nilipoanza kusoma vitabu vyako hususan vitabu viwili kimoja MANEY FOMLA na tabia ya kughairisha mambo na ufanisi kazini nimepiga hua kubwa mpaka wenzangu wananiita mimi mchawi natumia dawa za kienyeji kwa sababu nimenunua pikipiki mbili na kuwapa watu waniletee hesabu mpaka wenzangu wengine wananichukia kwa sababu nimewezaje kununua pikipiki wakati wao hawajaweza umeniheshimisha kaka Joel mm nikikosa kitabu chako kipya huwa sina raha kabisa nahisi kama napoteza kitu mwilini kwangu wewe ni jembe narudia tena kusema wewe ni jembe yangu ni hayo tu kaka Joel nanauka

IE
Issa edward
Nimefatilia mada ya jinsi ya kulipa madeni kiukwel imenisaidia sana nmeweza kulipa kiwango kikubwa cha deni langu mpaka sasa nmebakiza kiasi cha laki tano na nusu kwenye milioni 3

Japhet Mndala
Naitwa JAPHET....Ukweli usiofichika kitabu cha money formula pamoja na muongozo wa mafanikio vimenivusha katika wakati wa giza. Nilikua siwezi kuweka hata sh. Elfu moja kama akiba nilikua naspend sanaa had najikuta kufika mwisho wa mwezi sina hata akiba...mshahara ukiingia unanikuta na 0Tsh...lakini baada ya kusoma vitabu hivyo viwili tuu nimejikuta ndani ya miezi mitatu nina akiba ya kutosha ambayo moja ipo kama standing order kila mwezi bank wanakata, ya pili ni kikundi cha mpawa kila mwezi ninauwezo wa kununua hisa za elfu hamsini tatu nina kibubu cha chumbani kwangu naweka hata shilingi hamsini kila nikipata....nimejikuta ninapesa ya akiba nzuri....picha ya hapo chini ni ushahidi tu wa kibubu...hakika mwanga unaonekana na kufanikiwa kupo...sasa ni wakati wa nidham ya fedha..hakika top tutafika...Ahsante sana

JJ
Joseph Jumanne
Nimesimankitabu chako Cha timiza malengo yako nimejifunza juu ya marafiki pamja na kuweka malingo juu ya kile ninacho taka kutokea ,pia nikaweka na MDA kuwa kufikia mwezi was kumi niwe na junia kumi za mpunga ambazo nimenunua WAKAT huu was mavuni ili ifikapo mwezi was kumi Nije niuze Kwa bei kubwa Zaid ili niweE kukod mashamba ya mupunga wakati was msimubhiu yasipunguwe khekari tatu za mpunga huku nikiwa na endelea na masomo yangu chuoni.

Mwanatz
Naitwa Mwanatz asante sana Mwalimu kitabu cha Money formula Kimenisaidia sana nimeweza kupunguza matumizi yasiyokua ya lazima nimejenga tabia ya kuweka hakiba lakini pia naishi chini ya kipato changu wakati mwanzo nilikua naishi sawa na kipato ninacho pata Ubarikiwe sana 🙏

Keiina
-Naitwa keiina natokea kigamboni dar es salaam, -Nimebahatika kusoma kitabu cha Timiza malengo yako hasa ukurasa wa 71, sura ya tatu inayo zungumzia aina ya malengo yanayoweza kubadirisha maisha yako -kabla ya kusoma nilikuwa ni mtu ambae siwezi kuweka lengo au malengo makubwa kwa kuhofia kushidwa na kujikuta naweka malengo au lengo dogo "hasa kwenye biashara yangu ya kuuza chips nahofia kuweka idadi kubwa ya kuku kwa kuogopa hawata uzika, hatmae naishia kuweka kuku mmoja Kila siku japokuwa anaisha -Baada ya kusoma kitabu kiukwel nime funguka ki fikra kuwa natakiwa kuweka lengo kubwa hata inapo kuwa sijafanikiwa kwakiwango hicho, lakini nakuwa nimefanikiwa kwa udogo ambao mwazoni ndo ningefaya kama lengo

Khamis Jamali