Joel Nanauka

Shuhuda Za Vitabu / eBooks / Program Na Semina Zake Joel Nanauka

JK
Josephine Kapinga
Naitwa Josephine, video clip iliyonigusa ni kuhusu maumivu ya moyo. Awali nilikuwa nikiumizwa kidogo naumia sana moyo na kuweka visas. Kwa sasa nimeimarika sana. Moyo wangu una amani, maumivyu ya hayanitesi kwa muda mrefu.

Tariq
*jina langu TARIQ ASENGA *ebook ya ONGEZA KIPATO *Kabla nilikua sijui umuhimu wa kuweka akiba,nilikua nikiamini huwezi kuwekeza mpaka uwe na mtaji mkubwa.. *lakin baada ya kusoma nimejua naweza kuwekeza hata kwa elfu 10. Naweza kuweka akiba kwa Kila kipato changu hata kama nitaingiza sh 200 basi 50 nitaweka akiba. Nidhamu ya pesa nimejifunza pia nilazima nijue pesa zangu zinaenda wapi Kila ninapopata.

Eziron Vyats
Kitabu Cha Money fomla kime nisaidia sana Hapo Mwanzo Nilikuwa Nafanya Biashala Wala Hata Nilikuwa Sijui Kama Kuweka Akiba Kuna Saidia Nilipo Fanikiwa Kununua Sim Nikajiunga Na Instagram Hapo Ndipo Nili anza Kukufatilia Toka Hapo Nime kuwa Mhanga Sana Hata Kuwa Mteja Wako Wavitabu Vyako πŸ“š Kiukweli Nilikuwa Mgojwa Sana Wakuwekeza Sahiv Mafanikio Nime Ngi Sana Yan Kama Ninge Kipata Mpema Au Kukisoma Saiz Ninge Kuwa Mbali Sana See you at the πŸ”

Yunus Omar
Yunus Omar Nimeanza kujifunza kupitia video zako,na baadae ebook zako, ikiwemo money formula, ishinde tabia ya kughairisha mambo, mbinu za kuongeza kipato na ..... Kabla ya hapo nilikua na maarifa machache kwenye upande wa fedha biashara na hata namna ya kutumia kipaji changu ...ila kwa sasa naendelea kujiongezea maarifa kwenye mambo yote niliyoyataja na kuchukua hatua ya kukiendeleza kipaji changu ... sehemu kubwa ya yote ayo ni elimu ninayoipata kupitia video zako na ebook zako ... hivyo nikupongeze kwa kutumia muda wako wa thamani kutuelimisha na kutuhamasisha kuendelea kufanya yatayotufikisha kwenye malingo yetu

J
Jangale
Programu nyingi za mafunzo yako kuhusu maswala ya ujasiriamali na mahusiano na kujenga ujasiri ktk maisha zimenisaidia sana kunijenga na kuniimarisha kiuchumi na kijamii Ubarikiwe sana πŸ™πŸ™πŸ™ Shukran

L
Lilian
Alafu ningesahau hii Yaani ni So powerful kwangu ..... πŸ“Œ Nilisikiliza vedio Yako Moja Facebook ulikuwa unaelezea self desclipine.... Yaan hapa zaman nilikuwa siwezagi kuheshimu ratiba Yangu kabisa kabisa Yaaan mda wa kulala ndo naperuz mtandaoni ,mda wa kula ndo naogo, mda wa kufanya usafy ndo naongea na simu uwiiiiiiiiii kazi nilikuwa nafanya ofisin yaan karibia Kila wiki boss lazima Anirekebishe Ila baada ya kusikiliza Ile vedio Sasaiv yaan ninapenda na mda Sanaa na hii Imenisaidia kupanga mda wangu vizuri yaan mpaka nimejikuta Nina ratiba Yangu kabisa Ya siku nzima Yaan sasaiv mada Wa kusoma vitabu nasoma ,mda wa kukaa na familia ninakaa , na mda wa kupitia speech mbalimbali ninapitia na hii Inanisaidia Kila siku napona napona nakuwa nakuwa kiasi kwamba Naona Sasa najaza Akili Yangu Maarifa Yaani mambo Yangu yanaenda naona ninaweza kufanyaa zile strategies zangu Sasa ila mwanzon nilikuwa hata inapita wiki nzima sijafanya kitu chochote kwenye Yale malengo Yangu ...... Lakin pia sasaiv ninafanya Kaz bila kusimamiwa Tena mpaka boss ananiambia very nicee Yaani kaka nipo vizuri Sanaa Yaani Umeniponya Sanaa Sanaa Na ninazidi kukufatilia Ili Nipone zaidi na zaidi πŸ’―πŸ’― Endelea Endelea kaka Sema tupone πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

Joshua Nziku
Video yako ya mambo muhimu ya kufanya unapoamka asubuhi imenisaidia sana najua kabla ya kuona mafundisho hayo kwangu ilikuwa changamoto sana kuweza kupangilia mambo yangu na kumshirikisha MUNGU kabla sijaianza siku

Kaka Joel Mimi nimesoma vitabu vifuatavyo na vimenisaidia kwa namna hiyo hapo ; πŸ“Œ Nimesoma kitabu Cha Ufanisi kazini ..... Kuna mahali ulielezea watu wanaokula mda wako βœ… Social media ; hapa mim nilikuwa natabia siwez fanya kazi Iishe kabla sijashika simu Yaan kama Kaz inachukua masaa matatu basi nitafanya Kaz huku na peruzi mtandaoni na kitu ambacho lilikuwa kinapoteza ufanis Wa Kaz zangu lakin baada ya kuona umesema tenga mda flan nitaingia mtandaon mda Fulani ni WA kazi na Mimi nimefanya hivyo nilipambana mpaka nimebadilika sasaiv Instagram hainisumbui Tena kama mwanzo kila nikitaka kushika simu mda wa Kaz nakumbuka maneno Uliyoandika kitabuni βœ… Lakin pia ulielezea ukasema majukumu ya watu wengine ... Hapa ulisema mda mwingine unakuta upo ofisin badala ya kufanya majukumu yako kwa Ufanisi unajikuta uko busy na majukumu ya watu wengine na mwishowe unajikuta ya kwako unashindwa kumaliza na zaman mim mtu alikuwa akiniomba nisaidie kitu siwez kusema Hapana na unakuta sijamaliza majukumu yangu lakin baada ya kusoma kitabu nimejua kusema hapana na Kaz zangu nazifanya vizuri Sanaa Tena on time kabisa . πŸ“Œ Nguvu Ya Mwanamke... Hapa ulielezea nguvu nyingi za wanawake Ambazo tumepewa na Mungu mim nimetoka na hizi βœ… Intuition power ; ulisema hii ni Ile nguvu ambayo unakuwa unahisi jambo Fulani ukasema tusidharau maana hiyo I God given tutitumie basi mim zamani nilikuwa napotezea nasemaa Ahaaa ni mawazo Yangu tu Ila baada ya kusoma kitabu naitumia vizuri Sana Sana Kuna siku nilikuwa naenda kumwambia mtu jambo lakin kabla sijamfikia nilihisi kama atanikatalia hivyo sikumwambia kwa ule mda nilienda nikabadili namna ya kwenda kukiwasikisha na Baada ya hapo alikubalii πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ βœ… Motivation power .... Ulisema wanawake tumepewa nguvu ya Kuhamasisha mtu afanye jambo Fulani zamani mim nilikuwa nafanya Kuhamasisha watu lakin nilikuwa sijui na kama ni nguvu ambayo ni God Given hivyo nikawa siitumii effectively ila baada ya kusoma kitabu sasaiv mim ni mhamasishaji mzuri Nina Magroup watsap nahamasisha na pia status zangu mda wote nahamasisha and na enjoy kinyamaa Yani πŸ€—πŸ€— πŸ“Œ Nilisikikiza speech Yako ulitoa Ile siku Ya superwoman pale mliman city ... Ulielezea habari ya maumivu ukasema kwamba wanawake wengi wanashindwa kutimiza ndoto zao kwasababu ya maumivu ukasema Kuna maumivu ambayo yanasababishwa na kuachwa ,kukataliwa, kupoteza watu tuliyowapenda na ukasema turn Your pain Into gain do not let your to pass ... Ulisema tubadili maumivu yetu kuwa manufaa kwetu tusiyaache tu maumivu yapite hivi hivi hapa ulimtolea mfano Oprah .... Ukasema Yafanye maumivu Yako kuwa faida Yafanye maumivu Yako kuwa Daraja πŸ“Œ nilisikiliza speech Yako You tube ulikuwa unaelezea watu Amani ni hatari kukurudisha nyuma ukasema Kuna watu amabo waliowah kuwa na mamalaka juu Yako mfano alikusaidia sehemu fulan kwenye maisha kama kukulipia Ada au ni mume Au mwenza watu Hawa mda mwingine Huwa wanataka wao ufanye na kuishi jinsi wanavyotaka wao hivyo usipokuwa makin utajikuta unaziish ndoto zao . πŸ“Œ Nimesikiliza pia speech namna ya kuishinda hofu ulisema kwanza kabisa acha kufanya kile unachoogopa kukifanya , pili ukasema Kaa mbali na watu wanaokufanya uonekane hauwezi na sasaiv nami nimeanza kufanya kile ambacho Huwa nahofu kukifanya na ninaona nasonga mbelee πŸ“Œ Nilisikiliza pia speech ulisema jinsi urakavyoweza kuwa karibu na watu muhimu unaotaman kuwa karibu nao βœ… Solution ulisema Inabidi kwanza uweze kumtatuliaa baadhi ya Mambo yanayomshinda usiende kwa yule mtu kama unaomba msaada nenda kama solution provider zaman nilikuwa naenda naomba nisaidie hiki hiki ila sasaiv nimekuwa solution na Sasa Nipo karibu na watu niliyotaman Kuwafikia πŸ“Œ Kuna speech Yako nilisikiliza ulisema mafanikio ni mchanganyiko Wa viungo vingi kama vya pilau .... Na viungo hivyo ni βœ…Afya βœ…Muda βœ…Fursaa ukasema vyote hivi uki iunganisha Huwa vinaleta mafanikio ukasema mafanio ni pale Ambapo demands meet Opportunities.... Hivyo nimejua kumbe mafanikio sio pesa tu kumbe Kuna vitu vingine napaswa kuwa navyo Ili Nipate mafanikio πŸ“Œ Nilisikiliza pia ulikuwa unahojiwa redion ukasema kama ulipanga kufanya jambo Fulani alafu ukaona mda umeisha na umebaki mda m hache ukasema usiache kufanya lile jambo fanya tu kwa ule mda mchache maana wakati unafanya utapata nguvu ndan yake na kufanya kwa ukubwa Zaid ndan ya ule mda mchache na ni kweli mim Huwa Nina mda wangu Wa kusoma vitabu alfajiri kabla sijajianda kwenda kazin juz niliamkaa nikasali nikapoteza ule mda wa kusoma kitabu na ilikuwa bado dakika kumi tu nijiandae kwenda kazin nilipotaka kwenda kujiandaa nikakumbuka maneno Yako nikaamua kusoma kitabu kwa dakika kumi huwez Amani nilisoma Tena sehemu kubwa sana na nilielewa vizur Sanaa πŸ“Œ Nilisikiliza pia Speech Yako ulikuwa unasema hatakama watu Dunia nzima walisema hauwezi Ila wewe mmoja ukasema nijmnaweza huo ni ushindi mkubwa πŸ“Œ Nimekumbuka nilisikiliza speech ulikuwa unaelezea Aina za hofu Ukasema Kuna hofu ya kusema sijui ni nin kitatokea mbele ukasema watu wengi wanaogopa kuanza kufanya mambo kwakuwa wanahofia ni nn kitatokea Ukaekeza pia Kuna hofu ya kusema watu watanionaje ukasema watu wanaogopa kuanza vitu kwasababu ya kuhofia wataoneknaje mbele za watu mfano ukasema katika umri Wa ujana Huwa tunaogopa kufanya vitu kwakuwa tunahofu watu watstuonaje tukifika miaka hamsin tunakuja kugundua kumbe Wala kulikuwa hamna mtu anatuangalia na Kwa umri huo Yale mambo hatuwez kiyatenda Tena mim Napenda sana kuongea na watu kutoa Elimu zaman nilikuwa naogopa hata kumwambia mtu kama nafanya hivyo nilikuwa naogopa hata kupost Motivational quotes ninapenda napenda kuwa speaker but Naogopa watu wasijue watanionaje baada ya kusoma hiki kitabu sasaiv Kila mtu anajua mim ni Motivational speaker na Huwa naalikwa kwenye Magroup ya watsap kuongea βœ… Lakin hapa pia ulielezea Kuna Ile hofu ya kupoteza .... Hapa ulitoa mfano ukasema Kuna watu walikuwa wanapenda vitani walitupa silaha zote chini wakaenda jinsi walivyo inamaana ni either washinde au wafe .... Hivyo hapa Inabidi tuanze vitu tukiwa tunajua tunaenda kushinda πŸ“ŒKuna mahali nilisikiliza pia ulikuwa unaelezea kwamba ukitakata kufanya jambo lifanye kwa mda mrefu na matokeo yake Utayaona ukatoa mfano ulienda kutoa speech mahali baadae ukaenda kupokea malipo yule accountant akakwambia umesimams masaa mawili tu unapokea mshahara wangu Wa mwez ukamjibu Ilinichukua miaka kumi na mbili Mimi kusimama masaa mawili Leo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ πŸ“Œ Lakin pia Jana nilisoma maudhui Yako ulisema unaweza ukasoma kitabu hata ule mda Ambao unasubiri usafiri na pia tujipangie mfano kwa mwez utasoma kias Fulani na mim nimezichukua hii nikiwa kwenye daladala nimekaa Leo Asubuh nimesoma kitabu changu page nane 😊😊 Jambo ambalo zaman ilikuwa mpaka nifikie nyumban nikae ndo nisome hivyo nimefurah maana inanisaidia kusonga mbele πŸ“ŒLaki pia Kuna speech Nilisikikiza ulikuwa unaelezea kuhusu kukataliwa ukasema jamaa mmoja alienda kwenye music audition na walipewa tone za kuimbia na yeye aliweza kuimba mbili tu wale majaji wakwambia hatuoni chochote kwako katika huu mziki jaman alirudi home analia akamwambia mshikaji wake wamesema Sina chochote ila ninachojia Nina mziki ndani yangu na Leo hii iyo jaman ni mwanamziki mkubwa WA jazz na mim nimejifunza hapa mim Napenda kuwa life couch lakin nimekuwa nikionekana siwez kwa baadh ya watu wangu Wa karibu lakin Huwa natembea nikiwa nasema ninaweza ninaweza na mpaka sasaiv Kuna nafasi nimepata Nina couch watu kwenye ma group ya watsap ma ninakubulikaa Sanaa na hata kesho Nina group la wanachuon na wafanyabiashara nitaongea nao saa tatu usiku Yaaaani ni mambo mengi sanaaa ... Hakika kupitia wewe kaka Joel Nimepona kwenye mambo mengii mnoo mnooo siwez eleza yote haya ilaaa Be blessed brother πŸ™πŸ™ Inaiponya Sana Nafsi Yangu πŸ™ Thank you for transform My life ... Now nimeanza kuiishi ndoto Yangu .. Be blessed broh πŸ™πŸ™πŸ“ŒπŸ“Œ

Jacob maloda
Kaka wewe upewe mama yako tu ebook zako hasa hii ya formula money imenifanya nimekua na mikakati,imenifanya niyakaribie malengo.mikakati naiishi sasa nilikua mtu wa kutosimamia mikakati