Logo
kasingedigital

Mafunzo/Program Yangu Ya Uandishi Wa Vitabu Imekusaidia?

Tafadhali naomba mrejesho wako kwa kurecord video au kuandika kwa maandishi namna program ilivyokusaidia.

Maswali

  • Unaitwa nani?
  • Kabla ya kabala ya kupitia masterclass yangu hali yako ilikuwaje?
  • Baada ya kupitia masterclass yangu umepata matokeo gani?
  • Naomba nipe mrejesho wako bila kujali umepata , matokeo kidogo kiasi gani.