Tafadhali Tutumie Mrejesho/Maoni Yako
questions
- Ni nini kilichokuchochea kuchagua Shule za MustLead kwa elimu ya mtoto wako?
- Shule za MustLead zimechangia vipi ujifunzaji na maendeleo ya mtoto wako?
- Ni rasilimali au programu gani katika Shule za MustLead zimekuwa na manufaa zaidi kwa mtoto wako?
- Ni kwa njia gani umeona mtoto wako akikua na kustawi kama matokeo ya kusoma Shule za MustLead?
- Je, Programu gani unatamani iongezwe katika Shule za Mustlead?