Shuhuda Za Mafunzo/Program Za Andrew Rwela
GREVIN MGAYA
Naitwa GREVIN MGAYA na ni mkurugezi wa "𝐓𝐑𝐔𝐖𝐎𝐑𝐓𝐂𝐀𝐑𝐄 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀"
Kwa Sasa nipo Iringa.
Kwa kweli biashara zetu zinahitaji ujuzi sana, Kwani mara nyingi nimekuwa nikiingiaa garama ambazo hazima maan na kunifanya wakati mwingine kupoteza mtaji wangu.
Ila mwaka 2021 nilikutan na Andrew Rwela, na kumfatilia Kwa karibu sana, Kwa kipindi hicho nilijifanya mjuaji sana sikufanya chochote Cha ajabu biashara yangu iliendelea kudolola tu.
Ndipo mwaka 2023 nilimrudia Tena nikamwelekeza changamoto zangu, kiukweli namshukuru hakusita na kunipaushurikia Kwa kunisaidia kuondokana na changamoto Ile.
Na nimshukuru sana Tena sana maana sikutegemea kama mabadiliko hayaa kwenye biashara yangetokeaa vinginevyo saizi ningekuwa na nalima nyanya kijijini huko porini.
Nikushukuru sana ndugu yangu Andrew Rwela wewe ni mkombozi kwa wafanya biashara wengi. Endelea kutusaidia .
Ushauri wangu Kwa wafanya biashara wote tumtumie Andrew Rwela katika biashara zetu naamini tutafikaa mbali.
Asnte...,!

Dr Dwigo
Habari ya leo kaka Andrew,Ni Mimi Dr Dwigo mkurugenzi wa “BORESHA AFYA TANZANIA”…..,
Leo nimekutafuta ili nitoe shukrani zangu za dhati kwako kwa kazi nzuri uliyonifanyia ya kunitengenezea Link ambazo watu wanauwezo wa kuingia kwenye group la whatsapp moja kwa moja na inakuwa rahisi kuwamanage…..,
Maana siku za hivi karibuni Meta walifanya Update ambazo ukiset tangazo kwa kutumia Meta ads manager watu wanakuja inbox moja kwa moja na inakuwa vigumu kuwahandle wakija wengi kwa pamoja..,
Changamoto hii ilinusumbua kwa muda mrefu na kupelekea kupata matokeo mabovu na mauzo yangu kushuka sana lakini baada ya kukutana na wewe changamoto yangu imekwisha sasa nafanya matangazo kwa ufanisi mkubwa na mauzo yangu yameongezeka…,
Nashauri kama kuna-mfanyabiashara au mjasiriamali anapitia changamoto kama iliyonitesa mimi amuone kaka Andrew ili apate ufumbuzi wa changamoto hiyo maana huyu ni mtaalamu na kazi zake ni za uhakika.
Ubarikiwe sana kaka Andrew Rwela🙌

Mary
Nashukuru Andrew kwa huduma yako nzuri,kitabu kina mpangilio mzuri,nimependa huduma yako.
JN
Joel Arthur Nanauka
Kupitia utaalamu wako tumeweza kuweka contents kwa ratiba nzuri kwenye mitandao ya kijamii, tumeweza kuongeza mauzo ya vitabu vya digital kwa kiwango kikubwa na pia imeongeza nguvu brand yangu mtandaoni.

HM
Husna Mataka
Naitwa Husna Mataka
Kabla Ya mafunzo nilikua sina amani nahangaika nawaza nitawezaje kuandika ebook sijui pakuanzia yani nilikua gizani kwa kweli.Nilijua ni hatua ngumu nzito pengine itanichukua muda kuelewa.
Baada ya kupata Mafunzo kwa Andrew Rwela nimeweza kuandika ebook ndani ya siku 3 tu na ni kwa sababu nilikua busy sana kazini.
Andrew Rwela sikufikiria kama wewe ni mwalimu mzuri kiasi hiki,wewe ni mwalimu mzuri kwa kweli hongera sana.Na unaelekeza kama tuko pamoja tunaonana vile
Sikupata tabu kwa kweli kuandika ebook yangu.Na nitaendelea kuandika na ebook nyingine nyingi zinazoenda kutatua changamoto za watu kwenye jamii
Akhsante sana na endelea kupiga kazi ili wengi nao wazidi kunufaik. Big up sana

Isaac Challo
Hello Andrew ,thank you so much for your coaching session yesterday, you touched the exact areas i have been struggling most. It was quite insightful, i am currently reorganzing my self in order to implement our conversation.
My struggles basically encompased three areas which are
1. What are basic feature of an ebook
2. How to control the e book not to cirulate without payment
3. Strategic marketing.
You covered all these three areas sufficiently, in our coaching session.

ES
Elia Sereka
Habari Capt. Andrew
Yah! Nashukuru Sana Kiongozi Kwa Muda Wako Ulioutoa...
Naitwa Elia Sereka,
Nafanya Online Training,
lakini nilkuwa napata shida sana how ninavyoweza kufanya Live Video Training Kufundisha Kupitia YouTube
Ila Nafurahia Kwa Kuwa Leo Hii Nimeweza...
Baada Ya Kushiriki Masterclass hii...
Naenda Kufanya Makubwa 💪
Ahsante sana

AS
Amina Sanga
Nilipata Huduma Nzuri na kwa wakati. Zaidi nilipenda sana Professionalism na nilipata zaidi ya nilichokitarajia.
AS
Abdul Said
Kwa kweli mafunzo mazuri sana naendelea vizuri bado kidogo namalizia
RP
Rehema Paul
Naitwa Rehema Paul.
Ninatoa elimu kupitia mitandao ya kijamii hasa Whatsapp.
Kabla ya kupata kozi kuhusu Jinsi ya kuhifadhi mafunzo na kushare kirahisi kwa walengwa nilikuwa nikipata wakati mgumu sana.
Ilinilazimu kutumia nafasi kubwa sana kwenye group kutuma mafunzo.
Nilikuwa natumia muda mwingi kutafuta files zenye mafunzo.
Nilikuwa nachoka kupangalia masomo kiasi Cha kuhisi ni adhabu na sio kazi tena.
Kiufupi nilikuwa na struggle sana na kupishana na wateja wengi mno.
Baada ya kupata kozi kutoka kwa Andrew, maisha yamekuwa rahisi sana, speed ya kuhudumia wateja wengi imepanda sana na idadi imeongezeka.
Kifupi, sina stress ya kutoa huduma zangu, maisha yamerahisishwa mno. Sijutii kuwekeza muda wangu na ada yangu kupata kozi hii.
You are appreciated
Stay blessed Andrew!